tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Hakuna neno gumu ambalo anaweza kuongea watu wakashtuka. Polepole alisema anakuja kusema maneno magumu, kaishia kusema ambayo kila mwaka yanase mwa mpaka na kina Nape. Sasa anaishia kuwalaumu vyama vya upinzani eti hawamsaport? Na huyu mchungaji fake naye hana jipya la kuongea nchi ikashtuka. Hakuna, nasema hakuna.Jamaa aliaga akisema msipofungua kanisa la ufufuo na uzima baada ya siku kumi nitarudi tena, sasa hivi nikirudi jambo nitakaloliongea litachafua hali ya hewa.
Na mpaka sasa hivi hakuna tamko lolote kutoka kwa ofisi ya msajili wa taasisi za kidini, unavyowaza jamaa atakuja na comeback gani kama alivyoaga?
View attachment 3452536
Mbona NIDA na INeC watu tumestuka sanaHakuna neno gumu ambalo anaweza kuongea watu wakashtuka. Polepole alisema anakuja kusema maneno magumu, kaishia kusema ambayo kila mwaka yanase mwa mpaka na kina Nape. Sasa anaishia kuwalaumu vyama vya upinzani eti hawamsaport? Na huyu mchungaji fake naye hana jipya la kuongea nchi ikashtuka. Hakuna, nasema hakuna.