Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Kapatia au kakosea?Hahaha...Young Master kashajibu
Kapatia au kakosea?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
1. (-3) – (-4) = 1
2. (-2)+(-6)-8 = -16
3. 6+5-(-8) = 19
4. 4+(-4) = 0
5. (-60)+7(8-(-2))÷(-5) = -74
6. (-13)+(+11)= -2
7. 11+(-2) = 9
8. (-2)-6+4-5 = -9
9. (-12)-(-12) = 0
10. 17+(-21)= -4
Wakuite jembe au.....
Hahaahaeti tutajuaje kuwa naye yumo
kapata zote...Kapatia au kakosea?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Young Master mbona umesahau kuzidisha(kidoti humaanisha kuzidisha) kwanza kabla ya kujumlisha na kutoa?
Mfano:
2. (-2)+(-6)-8 = -16
Ilitakiwa iwe (2 x -2 - 6 - 8)
2. (-2)+(-6)-8 = -18
Hicho kidoti kipo wapi? Mbona sijakiona?
2. (-2)+(-6)-8 = -16
angalia kati ya 2 na -2