First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
acha tu best, bora tu hata wewe utanipa pipiDah! Yaani ka hawakujui vile!
acha tu best, bora tu hata wewe utanipa pipi
Mi mwenyewe pipi nilizigawa msikitini asubuhi, alafu mwenzako nikapata na ka mwaliko hapo hapo!
nani huyo alikuonea huruma bibie?