Wakuu ni chimbo gani mabaibui bei rahisi kwa jumla Dar au Zenji

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
11,837
Reaction score
17,412
Wakuu nimevutika na hii biashara naomba kujua wapi naweza pata baibui safi nzuri kwa jumla bei rahisi ili niprlekr kwetu nikauze nipste chochote kitu mana maisha kushughulika.baibui za mtaani hizi bei kali nataka nijue wao wanazitoa wspi mpaka wakaja kuwekaanmtaani wakuu?

Na kanzu jee chimbo zuri wapi wakuu naombeni msaada wenu tafadhali.
 
Baibui watu wanatoa Dubai ila zenj huko naona ni rahis zaidi kwakua wanavaa kwa fashion sasa kama likija toleo jipya lile kongwe bei inashuka, baibui za mtumba za mana tena wanauza hadi elfu 3, mpya ambazo ni toleo kongwe hadi elfu arubaini inafika. Hivo ukienda zenji nahisi utapata rahisi kwanza asilimia 98 ya wakaaz wake wanavaa hicho kivazi kwa hio baibui wanazo nyingi huko.
 
Chimbo gani hilo mkuu ambalo naweza kupata hadi alfu tatu kwa jumla mkuu,ebu niunganishie michongo mkuu mana mfungo unakaribia nataka nifanye kitu mkuu
 
Elfu tatu hio ni bei ya reja reja hope kwa jumla itapungua zaidi, wacha niwasiliane na jamaa huko nijue chimbo halafu nitakujuvya
 
Poa poa mkuu nitashkuru sana mkuu.

Fanya hivyo mkuu.
 
Back
Top Bottom