safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Wakuu nimevutika na hii biashara naomba kujua wapi naweza pata baibui safi nzuri kwa jumla bei rahisi ili niprlekr kwetu nikauze nipste chochote kitu mana maisha kushughulika.baibui za mtaani hizi bei kali nataka nijue wao wanazitoa wspi mpaka wakaja kuwekaanmtaani wakuu?
Na kanzu jee chimbo zuri wapi wakuu naombeni msaada wenu tafadhali.
Na kanzu jee chimbo zuri wapi wakuu naombeni msaada wenu tafadhali.