Baibui watu wanatoa Dubai ila zenj huko naona ni rahis zaidi kwakua wanavaa kwa fashion sasa kama likija toleo jipya lile kongwe bei inashuka, baibui za mtumba za mana tena wanauza hadi elfu 3, mpya ambazo ni toleo kongwe hadi elfu arubaini inafika. Hivo ukienda zenji nahisi utapata rahisi kwanza asilimia 98 ya wakaaz wake wanavaa hicho kivazi kwa hio baibui wanazo nyingi huko.Wakuu nimevutika na hii biashara naomba kujua wapi naweza pata baibui safi nzuri kwa jumla bei rahisi ili niprlekr kwetu nikauze nipste chochote kitu mana maisha kushughulika.baibui za mtaani hizi bei kali nataka nijue wao wanazitoa wspi mpaka wakaja kuwekaanmtaani wakuu?
Na kanzu jee chimbo zuri wapi wakuu naombeni msaada wenu tafadhali.
Chimbo gani hilo mkuu ambalo naweza kupata hadi alfu tatu kwa jumla mkuu,ebu niunganishie michongo mkuu mana mfungo unakaribia nataka nifanye kitu mkuuBaibui watu wanatoa Dubai ila zenj huko naona ni rahis zaidi kwakua wanavaa kwa fashion sasa kama likija toleo jipya lile kongwe bei inashuka, baibui za mtumba za mana tena wanauza hadi elfu 3, mpya ambazo ni toleo kongwe hadi elfu arubaini inafika. Hivo ukienda zenji nahisi utapata rahisi kwanza asilimia 98 ya wakaaz wake wanavaa hicho kivazi kwa hio baibui wanazo nyingi huko.
Elfu tatu hio ni bei ya reja reja hope kwa jumla itapungua zaidi, wacha niwasiliane na jamaa huko nijue chimbo halafu nitakujuvyaChimbo gani hilo mkuu ambalo naweza kupata hadi alfu tatu kwa jumla mkuu,ebu niunganishie michongo mkuu mana mfungo unakaribia nataka nifanye kitu mkuu