Cliffhanger
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 721
- 1,293
hamna uhusianoUkweli ni kwamba vyakula laini vinaharibu sana vijana wetu
Hasahasa chips
Unakuja kijana anamindevu lakini anaogea utadhani bint
Hasahasa wanaume wa dar
Watu wameathiriwa na MOTHER TONG zaoWakuu, ni kwa nini kizazi hiki cha sasa kinaona ugumu kutumia herufi H kiusahihi? Neno Habari linaandikwa Abari, Hujambo inaandikwa Ujambo, Hayupo inaandikwa Ayupo. Mengine mtaongezea.
Mwanzoni nilifikiri kuwa ni uvivu wa kuandika maneno mengi, kilichonishangaza ni kuwa hata sehemu ambayo inatakiwa itumike A tupu panaandikwa Ha, Kwa mfano neno Amekubali linaandikwa Hamekubali.
Je tufanyeje kama wana Jamii kurekebisha tatizo hil?
uhusiano upohamna uhusiano
haha, wewe jamaa una yako ya ziada!Ukweli ni kwamba vyakula laini vinaharibu sana vijana wetu
Hasahasa chips
Unakuja kijana anamindevu lakini anaogea utadhani bint
Hasahasa wanaume wa dar
Mmmh,,sidhani. Mi Nina watu nimesoma nao mjini hapa darasa LA kwanza mpaka LA saba,,siku hzi gafla anaandika ivo,,,nahisi wanadhani ni fasheni wakati ni ushamba tu.. Ingawa wahaya na watu wa musoma ndo wanashida iyoWatu wameathiriwa na MOTHER TONG zao
Hata Insta live huijui bado. . . . We ni jini kisirani!!Ukweli ni kwamba vyakula laini vinaharibu sana vijana wetu
Hasahasa chips
Unakuja kijana anamindevu lakini anaogea utadhani bint
Hasahasa wanaume wa dar
Mtoa mada hajasema mwanaumelabda wanaume wa Dar!!
Mother tongueWatu wameathiriwa na MOTHER TONG zao
Asante sana mkuu...Mother tongue