Wakuu nifanyeje nilijue draft?

Wakuu nifanyeje nilijue draft?

Daah upo Kama Mimi pamoja na kufaulu hesabu za shule kutoka msingi mpaka kuja kuwa Mhandisi eti hesabu za draft zimenipiga chenga.

Nimejaribu kufuatilia kwa kuangalia wataalamu wanavyocheza bado naona maruweruwe tu. Nimebaki kuwa mtazamaji tu na kusikiliza maneno ya kwenye draft ndiyo starehe yangu iliyobaki.

Sijui nianzie wapi ili niweze kumaster huu mchezo.
Wewe unajua hesabu za elimu lakini draft linataka hesabu za inborn brain ambazo wewe bila shaka ziko chache.
 
Back
Top Bottom