Wakuu nijuzeni hili jambo

Wakuu nijuzeni hili jambo

machafuko jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
565
Reaction score
1,158
Nimemaliza chuo kimoja hapa nchini. Nia yangu kwa sasa nataka nisomee ufundi wa magari makubwa( scania) swali langu naweza pata wapi short course za huo ufundi. Kwa sasa nipo Arusha
 
Nia yangu kwa sasa nataka nisomee ufundi wa magari makubwa( scania) swali langu naweza pata wapi short course za huo ufundi.
NIT Dar es salaam ni sehemu sahihi kujifunza huo ujuzi.

Ni vyema ukafanya mawasiliano ili wakushauri zaidi ni kozi ipi hasa

Nimeangalia kwenye orodha ya course zao hapa: SHORT COURSES

Ila bado haijitoshelezi ni vyema ukawapigia simu NIT au ukafika kabisa ofisini kwao kwa msaada zaidi.
 
Asante sana mkuu. Ngoja nijaribu kuwasiliana nao.
 
Back
Top Bottom