Wakuu nijuzeni kuhusu Nchi ya Wales

Wakuu nijuzeni kuhusu Nchi ya Wales

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
Kuhusu Gareth Bale nimeenda wikipedia kumsoma huyu jamaa nimeona kazaliwa Cardiff, Wales.

Swali langu ni hivi, Hii Wales siyo UK?

Natanguliza shukrani
 
ni uk ,ambayo ni muunganiko wa wales yenyewe,england na nyingne
 
UK isingekuwa na political interest zaidi
Ingekuwa ni dola lenye nguvu sawa na USA
 
Back
Top Bottom