Babchabi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2012 Posts 1,745 Reaction score 777 Mar 7, 2015 #1 Kuhusu Gareth Bale nimeenda wikipedia kumsoma huyu jamaa nimeona kazaliwa Cardiff, Wales. Swali langu ni hivi, Hii Wales siyo UK? Natanguliza shukrani
Kuhusu Gareth Bale nimeenda wikipedia kumsoma huyu jamaa nimeona kazaliwa Cardiff, Wales. Swali langu ni hivi, Hii Wales siyo UK? Natanguliza shukrani
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Mar 7, 2015 #2 Ni UK!! Hata timu ya Swansea ipo huko huko
Inog01 JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,291 Reaction score 1,961 Jul 6, 2016 #3 ni uk ,ambayo ni muunganiko wa wales yenyewe,england na nyingne
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Jul 6, 2016 #4 UK ni muunganiko wa England, Wales, Scotland, Northen Ireland... chebi
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,728 Jul 6, 2016 #5 Hiyo ni kama Zanzibar tu...
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,022 Jul 6, 2016 #6 Na iko vizur
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,171 Reaction score 3,461 Jul 6, 2016 #7 Deo Corleone said: Ni UK!! Hata timu ya Swansea ipo huko huko Click to expand... He!....
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,654 Jul 6, 2016 #8 UK isingekuwa na political interest zaidi Ingekuwa ni dola lenye nguvu sawa na USA