Kuna mwingine zaidi ya Max, mfano DPP ambaye amehojiwa na DPP kuhusu Musiba ?
Kigogo kaishapatikana ?
Kuna msanii kajitupia picha za uchi?
Mkuu wetu hajatoa update zozote huko?
Azori ameshazikwa au bado tunamtafuta alipo?
Jamani tupeane updates wakuu.