Wakuu nilitoka mitandaoni, Kidogo Kuna Jipya gani huko nchini, mfano.....

Wakuu nilitoka mitandaoni, Kidogo Kuna Jipya gani huko nchini, mfano.....

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Kuna mwingine zaidi ya Max, mfano DPP ambaye amehojiwa na DPP kuhusu Musiba ?

Kigogo kaishapatikana ?

Kuna msanii kajitupia picha za uchi?

Mkuu wetu hajatoa update zozote huko?

Azori ameshazikwa au bado tunamtafuta alipo?

Jamani tupeane updates wakuu.
 
Kuna biriani season ya pili nasikia imetoka leo, walokua nayo watatusaidia
 
Back
Top Bottom