Wakuu nimeanza driving school...

Wakuu nimeanza driving school...

simba jike

Senior Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
182
Reaction score
537
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na ninakaa hostel kabisa,lengo ni kwamba tukishapewa Noah zetu nisiangaike tena barabarani na niwe na leseni....... Wakuu si vibaya mkashare Maandalizi yenu pia.....
 
Zikilipwa hizo tunaenda kujenga Chato international Airpot
 
haina shida mie niko tayari kukufanyia buuuuuuuuuh utakapoumbukaa
 
Sasa hivi watapata wanafunzi wengi sana fungua na wewe ya kwako ukishajua kuendesha kumbuka wa Tanzania milioni 50 lazima wajue kuendesha
 
Sasa hivi watapata wanafunzi wengi sana fungua na wewe ya kwako ukishajua kuendesha kumbuka wa Tanzania milioni 50 lazima wajue kuendesha
Hahahah nikimaliza mafunzo nami nitaambukiza family yangu udereva
 
Back
Top Bottom