Wakuu nimeanza driving school...

Wakuu nimeanza driving school...

simba jike

Senior Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
182
Reaction score
537
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na ninakaa hostel kabisa,lengo ni kwamba tukishapewa Noah zetu nisiangaike tena barabarani na niwe na leseni....... Wakuu si vibaya mkashare Maandalizi yenu pia.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]spare my ribs
 
tunaletewa lini asee
nmechoka kukaa kwa shemeji

ndio mda kutoka kimaisha hahahahhaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]spare my ribs
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani hadi nimetokwa na machozi kwa kicheko lol
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na ninakaa hostel kabisa,lengo ni kwamba tukishapewa Noah zetu nisiangaike tena barabarani na niwe na leseni....... Wakuu si vibaya mkashare Maandalizi yenu pia.....
 
Hahaaa mkuu,ilikuwa kawaida wenye magari kutongozea wadada, Sasa kila mtu atakuwa na noah yake, hakuna mtongozo hahaaaaaaa
 
Nina furaha ilioje tangu barrick wakubali kutulipa mahela yetu. Furaha ilizidi pale nilipopata habari kuwa above 18 tutapatiwa magari aina ya Noah. Hatua nilizochuka ni kuanza driving school na ninakaa hostel kabisa,lengo ni kwamba tukishapewa Noah zetu nisiangaike tena barabarani na niwe na leseni....... Wakuu si vibaya mkashare Maandalizi yenu pia.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom