Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

Mimi kama daktari sijaona tatizo kwa wote wawili katika hesabu hizo kuna 25days + or -, kikubwa fanya ya fuatayo. Mosi, andaa vifaa kama ulivyoelekezwa clinic. Pili, zijue dalili za uchungu coz siku ya Mtoto kutoka inafahamika 1,2,3 days before. Tatu, piga ultrasound inapatikana kila wilaya Tanzania ili ujue exactly una mimba ya umri gani na hali ya kiafya ya Mtoto. Suala la operation hasa planned yaweza fanyika any date between hizo 25 days coz Mimba itafikisha 36weeks (9months). Huko uliko sasa shika ya daktari wa huko unless utaonekana unamatabibu wengi upotoshwa au utanyanyapaliwa wodini wakuite anaejifanya.
.......
 

asante mkuu!
 
Roho inakudunda nini tena dada, watoto watatu bado unaogopa kujifungua?
Mungu akutangulie hope kesho utatuletea a baby boy as your wish

Duuuh, mbona roho inaanza kudunda! Wiki nzima sipati usingizi hasa kuanzia saa 8 usiku hadi saa 10 alfajiri.
 
Haya mahesabu yanategemea mzunguko wake ni wa siku 21, 28, 35 etc.
Kama mzunguko wako ni wa siku 28 tarehe ya makisio ni 15 April 2014.
 
mungu ndie muweza wa yote natumai umefanikisha au utafanikisha.
 

Kweli Da' Dina!
 
Last edited by a moderator:
Mmmh! Mpigania Uhuru umekosea.

Ipo hivi, chukua tarehe ya hedhi ya mwisho.LNMP.eg, 20.8.2014......penye tarehe jumlisha 7, kwenye mwezi toa 3, kama mwezi ni chini ya 4, eg mwezi wa 3, 2,1 unajumlisha 3.....so Expected date of derivery EDD. ni 27.5.2014....
 
Mmmh! Mpigania Uhuru umekosea.

Ipo hivi, chukua tarehe ya hedhi ya mwisho.LNMP.eg, 20.8.2013.....penye tarehe jumlisha 7, kwenye mwezi toa 3, kama mwezi ni chini ya 4, eg mwezi wa 3, 2,1 unajumlisha 3.....so Expected date of derivery EDD. ni 27.5.2014......inakupa 40 weeks za ujauzito
 
Note....tarehe ya mwisho ya hedhi ni ile siku ya kwanza kuona damu na sio uliyomaliza
 
Ndugu zangu naomba ushauri je ungonjwa wa taifod upo? Manake ukienda hospitali Kupima una ambiwa una taifod ukikutana na marafiki wanakuambia uongo hio taifod haipo Tanzania sasa ni lipi la ukweli?
 
Pole mama wa C/S ya nne, hayo ni maamuzi magum kwa kuwa naamini ulishauriwa juu kutokuendelea kuzaa. Ila la msingi ni kuwa hizo tarehe huwa ni makisio japo hapo yaonekana kuna mmoja alikosea kidogo kama ulikuwa umewaambia LNMP ya ukweli. Kwa tar iyo ww ungetaraji kuwa umefikia kujifungua tar 15/4/2014. Na mara nyingi wanasema plus or minus 2wks is ok. Kwako ww minus 2wks is better sababu ya historia yako
 

Asante Asheengai!
 
Last edited by a moderator:

27.05.2014???
 
kama bado hujaanikisha c vema kuendelea kusubiri na hizo scar zako 3, mana waeza anza uchungu au ikawa shughuli nyingine, Mungu akutunze mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…