Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

Wakuu nimechanganyikiwa - daktari yupi yuko sahihi?

Mimi kama daktari sijaona tatizo kwa wote wawili katika hesabu hizo kuna 25days + or -, kikubwa fanya ya fuatayo. Mosi, andaa vifaa kama ulivyoelekezwa clinic. Pili, zijue dalili za uchungu coz siku ya Mtoto kutoka inafahamika 1,2,3 days before. Tatu, piga ultrasound inapatikana kila wilaya Tanzania ili ujue exactly una mimba ya umri gani na hali ya kiafya ya Mtoto. Suala la operation hasa planned yaweza fanyika any date between hizo 25 days coz Mimba itafikisha 36weeks (9months). Huko uliko sasa shika ya daktari wa huko unless utaonekana unamatabibu wengi upotoshwa au utanyanyapaliwa wodini wakuite anaejifanya.
.......
Mkuu dalili za mtoto kutokaIni zipi? Nisaidie namaanisha
 
Mi ntakusaidia kucalculate siku zako. Ntajie mara ya mwisho umeingia menstruation period (mp) lini? Taja tareh na mwez Ntai2mia kukuhesabia. Uhakika.
 
Mmmh pole hapo utata,nenda kwa dr mwingine wa tatu then uone yeye pia atakuambia nin kisha utoe maamuzi.
 
Back
Top Bottom