Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
🙏🙏🙏Itikia wito ila tambua hakuna mambo ya kutoa pesa.
So nifanyaje? Nisiende sio?Usiamini hata kivuli,watu wapo mbele ya muda
Kuwa makiniSo nifanyaje? Nisiende sio?
Nimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi..
Usalama upo kweli?
N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala wa Kati.
Nitaenda kwenye ofisi kuu Ninayo itambua.Kuwa makini
Hajaniambia kaseama tu kuna Jambo anataka kuzungumza na MimiSababu ya wito ni nini?
Thank you mkuu. Haiwezi kuleta shida?Usiende
Ilitakiwa uwaulize hayo maswali yote unaitikiaje wito bila kupata details za kueleweka?So nifanyaje? Nisiende sio?
SahihiNitaenda kwenye ofisi kuu Ninayo itambua.
Namba ya simu ya kawaida ni ipi na isiyo ya kawaida ni ipi?Nimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi..
Usalama upo kweli?
N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala wa Kati.
Subiri barua rasmiThank you mkuu. Haiwezi kuleta shida?