Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
- Thread starter
-
- #21
Ni sole proprietor bado sijawahi and sijalipa Kodi tangu Corona.. Sijafanya biashara muda wote huo.Jiandae kwa kodi, ulisha wahi kufile annual return ?
Asante Sana mkuu...Kama location ni public sawa ila kama ni very private na sio salama usiende.
Asante sana mkuu..Nafsi yako na upeo wako wa kiakili vinakuambiaje kulingana na mazingira yenyewe ya kuitwa kwako?
Hata kama ni tofauti na kituo chako, hakikisha sio sehemu nyingine tofauti na ofsini, na uzingatie sana masaa. Kama utakuwa na wasiwasi, wakati unatoka piga routes za nyoka kabla hujashika route ya kurudi unapokaa.
Asante sana mkuu nadhani wazo Zuri ni kutokwendaUsiende unless wamekupa sababu ya kukuita na mkutane kwenye mazingira ya kazi, muda uwe wa kazi, na usiende mwenyewe na wakati unaenda uage uko wapi
kama hawajakupatia abc usiende, jifanye umesahau miadi.Hajaniambia kaseama tu kuna Jambo anataka kuzungumza na Mimi
Kaniita ofisi tofauti na kituo changu cha Kodi. Mimi Kodi huwa nalipa Mwenge. Yeye kaniita Millenium TowerNenda kwanza. TRA hawateki watu
Una vimeo ?Nimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi..
Usalama upo kweli?
N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala wa Kati.
Asante sana mkuu.kama hawajakupatia abc usiende, jifanye umesahau miadi.
Yes vimeo ninavyo tangu elfu 2021. Nilifunga ofisi wakati wa CoronaUna vimeo ?
kama huna usiende, wao wake ofisini kwako kwani hawapajui
Kama unajua unadaiwa lipa Kodi endelea na maisha. Vikao na wasiojulikana wakati Kuna ofisi rasmi ni kupotezea muda wa uzalishaji.Kaniita ofisi tofauti na kituo changu cha Kodi. Mimi Kodi huwa nalipa Mwenge. Yeye kaniita Millenium Tower
Asante sana mkuuKabla ya kwenda utuage kabisa.
Nenda siku tofauti na waliyokwambia, nenda bila kutoa taatifa na usiende peke yako.
Asante sana mkuu nitafanyia kazi ushauri wakoKama unajua unadaiwa lipa Kodi endelea na maisha. Vikao na wasiojulikana wakati Kuna ofisi rasmi ni kupotezea muda wa uzalishaji.
deni linazidi 100 million ? na upo mkoa gani ?Yes vimeo ninavyo tangu elfu 2021. Nilifunga ofisi wakati wa Corona
Asante sana mkuuKwa kuongeza hapo juu, ikitokea umeenda hakikisha hushikani mikono, hunywi wala kula chochote. Dunia imekua ya ajabu sana siku hizi