Wakuu nimeitwa TRA. Usalama upo kweli?

Najua unahofia mambo ya kuweka nyavuni,maana wasiwasi nayo aKili.

Ila saizi tra wanapiga simu sana kutaka watu walipie madeni,huyo ilitakiwa akupe sababu ya kukuita,na sio hata lazima uende wewe.

Mtume mtu,
 
Kea nchi ilivyo lazima tujuliane hali na pia kuwa na wasiwasi: Huyu nfugu yetu hakuwa navrafiki wa karibu humu, September 5 ni mbali sana
 
.
 
Usiende unless wamekupa sababu ya kukuita na mkutane kwenye mazingira ya kazi, muda uwe wa kazi, na usiende mwenyewe na wakati unaenda uage uko wapi
Ushauri mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…