Wewe unatumia pombe kali?Kwa ajali za kila siku, watu wange acha kununua magari.
Hata ndotoni sijawahiWewe unatumia pombe kali?
Shituka.Nimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi...
Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache.
Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati.
Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo.
N.B: Sijaacha Pombe
Uzushi huu...Yule jamaa wa konyagi na chapati nae nasikia tayari figo
Ok!Uzushi huu...
Pombe haiuwi figo acheni hiz narative...
Kwa heshima yako unatuletea kitu kama hiki mkuuYule jamaa wa konyagi na chapati nae nasikia tayari figo
Inasikitisha sana.Shituka.
Wenzenu wanaumwa ngoma madawa yamezidi mwilini wanakuja kusingizia pombe.
Mbona wazee wetu walikuwa hawaumwi.
Muhimu ukishalewa usit*mbe hovyo utapata ngoma....
Haibadilishi chochote katika ulevi, serikali tu ndio inakosa kodi.Pombe kali nyingi ni feeeeeki