Wazee wako walikuwa hawanywi konyagi.Shituka.
Wenzenu wanaumwa ngoma madawa yamezidi mwilini wanakuja kusingizia pombe.
Mbona wazee wetu walikuwa hawaumwi.
Muhimu ukishalewa usit*mbe hovyo utapata ngoma....
Dah mkuu, ulevi wa uzeeni tena na kulivyo na magonjwa mengi yasiyo ya kuambukizwa kwa umri huo, mbona balaa!Umefanya jambo jema, hizi pombe kali ni za kunywa ukifikisha miaka 65 huko.
Figo na pombe kali havihusiani.......
Rethink mkuu!Uamuzi mzuri hizi pombe kali nyingi ni feki zinatengenezwa na wapumbavu ,Ukikaa vibaya Figo lazima zifeli au BP.
Mbona idadi kubwa ya watu wanaofanyiwa dialisis wana historia za unywaji wa pombe, ni kwa nini?Figo na pombe kali havihusiani.......
Mwanzo mzuriNimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi...
Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache.
Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati.
Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo.
N.B: Sijaacha Pombe
punyeto howMwanzo mzuri
itafika pahala utaacha kabisa...
mie nilikuwa cha P...lakini nashukuru Mungu.
NB
kwa suala la figo si pombe tu,,hata vyakula na baadhi ya vinywaji ie Energy drinks,chumvi viungo mafuta nk pia punyetoh
We ndio umesema kweli, figo na kisukari kinasingiziwa sanaWamekanyaga waya hao wanasingizia figo
Wachache sana wataelewa. BTW pombe kali feki ni nyingi sana hapa TZ, mimi binafsi nulikua mdau mkubwa sana wa nyagi, ila tangu zianze kychakachuliwa kwa kiwango cha hali ya juu siku hizi kunikuta nakula nyagi labda iwe 5 star hotelFigo na pombe kali havihusiani.......
Hio ni hatua nzuri! Mwenyezi Mungu akusaidie utoke kwenye pombe kabisa.Nimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi...
Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache.
Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati.
Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo.
N.B: Sijaacha Pombe
Itakuwa walimaanisha ini hawaUzushi huu...
Pombe haiuwi figo acheni hiz narative...
Kwanza konyagi imetengenezwa kwa miwa😎Wazee wako walikuwa hawanywi konyagi.