Wakuu Nimekata Shauri, Sinywi Pombe kali tena

Yaani wewe kabisa uache visungura? Si utaugua kwa kiu gentleman na sio figo?

kiungwana,
walevi wanaojitambua wanasemaga hivi,
kwasasa nimepumzika kunywa pombe kwa muda, kwasababu 1,2,3...

Kusema umeacha pombe ni unafiki ambao huumbua wengi sana baadae anaporejea ulevi๐Ÿ’
 
Wewe kilaza wa lumumba ungesoma uzi hadi mwisho kwenye N.B
 
Sahihi ndugu..
Mungu akusaidie hayo matatizo yasikurudie tena
 
pombe walevi makini hupumzika tu, kusema wameacha ni unafiki na ni kinyume na kanuni zao ๐Ÿ’
Note:
Mimi sinywi visungura kama unavyokunywa ww na lumumba wenzako
 
Shituka.
Wenzenu wanaumwa ngoma madawa yamezidi mwilini wanakuja kusingizia pombe.

Mbona wazee wetu walikuwa hawaumwi.

Muhimu ukishalewa usit*mbe hovyo utapata ngoma....
Wazee walikuwa wanakunywa kwa kiasi vijana sasahv wanakesha hadi asubuhi
 
Hata Konyagi๐Ÿ˜‹?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ