gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wanajipa moyo, hospital huko mayanki wenye shida ya figo kisa ulevi ni shaziAlcohol and Your Kidneys
Drinking alcohol can harm kidneys, leading to high blood pressure, dehydration, and liver disease. Limit alcohol intake to protect kidney health.www.kidney.org
Mambo yanaisha chini kwa chini!Hivi mbona huwa hatuwaoni mahakamani
Wagonjwa wa ukimwi ndio wanaongoza kuwa na matatizo ya figo ,vitu vitano vinavyoongoza kusababisha matatizo ya figo pombe haipo.
Pombe inapeleka madhara moja kwa moja kwenye ini (liver cirrhosis) ukitoa hepatitis.
Mpaka uje uumwe hiyo liver cirrhosis ni kipengele sana
Hizi nahisi ukiwa chronic unazima usingizini.Hizi nazo Energy Drinks ndiyo zina haribu sasa kimya kimya watu hawajui tu, mbaya zaidi wana changanya kwenye pombe au wanaweka Panadol sijui..
Safi sanaEnergy huwa sinywi kabisa