Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
tembelea vituo mbalimbali vya afya kupata jibu la jumlaHospital nlienda kaka daktari akaniambia kwamba Hawa sio fungus ni kitu kinaitwa geographic tongue ila mm nimekuwa na wasiwasi sana baada ya kukutana na huyo binti kama mienz mitatu iliyopita