Wakuu nimekula chumvi asee msaada naogopa mbaya

Hospital nlienda kaka daktari akaniambia kwamba Hawa sio fungus ni kitu kinaitwa geographic tongue ila mm nimekuwa na wasiwasi sana baada ya kukutana na huyo binti kama mienz mitatu iliyopita
tembelea vituo mbalimbali vya afya kupata jibu la jumla
 
hizo in fangazi za mdomoni,fangaz hazipatani na chumvi jitahidi kusukutulia maji ya chumvi,
tafuna sana vitunguu swaumu
hizo no Tina mbadala zilizoniijia haraka haraka.

sio tatizo kubwa kivile
 
no tiba mbadala,
epuka vitu vya sukari,kuvuta fag,pombe kwasasa
 
loh bora umeuliza coz juzi me nimelazimishwa kuzama nkazama , mwanaume nikachimba nikachimba nikajiona kidume since yesterday chini ya ulimi kunae vidonda saana
NDO NSHAKUFA NINI??
 
Hahahaaa
 
Hiyo ni fungus mkuu nenda hospitali ukapate matibabu na uache hayo makitu mara moja
 
Kuna mademu wa kuzama chumvini sio kila demu ona sasa umepata kisonono cha kolomeo na ulimi
Nisaidie mkuu ndio inakuwaje hiyo je nkiwah naweza pona
 
Assante kaka ntafanyia kazi ushauri wako
 
unatuiga sisi!....utanyooka.kacheki chap
 
Nisaidie mkuu ndio inakuwaje hiyo je nkiwah naweza pona
Nenda kwa daktari wa magonjwa ya kinywa usichelewe unaweza zalisha tatizo kubwa kwa kukaa kwako online kuomba misaada
 
Nenda kwa daktari wa magonjwa ya kinywa usichelewe unaweza zalisha tatizo kubwa kwa kukaa kwako online kuomba misaada
Sawa mkuu nashukuru
 
Kanuni ni hii hapa.

Kama unataka kuzama chumvini jihakikishie usalama kwa kutambua harufu ya unayetaka kumzamia.

Inaweza kuwa mbaya, ya kuridhisha au nzuri.

Kwahiyo mkiwa mjengoni mkumbatie, mkiwa mnaendelea kufanya romansi huku mmekumbatiana peleka mkono kwenye K pima oil halafu peleka huo mkono puani.

Kwakua mtakua mmekumbatiana hatoona wakati mkono unaenda puani.

Kisha ipe daraja hiyo harufu. Ni mbaya, inaridhisha au nzuri.

Halafu kinachoguswa na ulimi ni kisisismimimi siyo unapeleka kinywa kila mahali utakatwa ulimi ushindwe kutongoza.
 
Yaaani baada ya kuingza Mtulinga wewe unaingiza ulimi shubaamit wanaume wa Dar kazi ipooo
 
Mkuu kuna kitu kinaitwa "kansa ya koo" so take care tutakusahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…