Nunua ndimu ikate na upake kwenye nyayo za mkuu fastaaa.... Trusted and tested 100% worked...Nimelewa sana,,,,naandika nimelewa tu hadi nimeshindwa kudrive
Nipo bar moja hivi maeneo ya kimara (jina kapuni)
Nimelewa kusherehekea ushindi mmoja hivi (siri yangu msinizoee mataga ila washajua)
Nisaidieni kinywaji cha fasta cha kupunguza ulevi nimekunywa krest lakini wapi nataka niende home aisee
DuhKunywa red bull
View attachment 1731274