Wakuu nimelewa, nifanyeje ulevi upungue niende nyumbani?

Wakuu nimelewa, nifanyeje ulevi upungue niende nyumbani?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Nimelewa sana, naandika nimelewa tu hadi nimeshindwa kudrive

Nipo bar moja hivi maeneo ya kimara (jina kapuni)

Nimelewa kusherehekea ushindi mmoja hivi (siri yangu msinizoee mataga ila washajua)

Nisaidieni kinywaji cha fasta cha kupunguza ulevi nimekunywa krest lakini wapi nataka niende home aisee
 
Nimelewa sana,,,,naandika nimelewa tu hadi nimeshindwa kudrive

Nipo bar moja hivi maeneo ya kimara (jina kapuni)

Nimelewa kusherehekea ushindi mmoja hivi (siri yangu msinizoee mataga ila washajua)

Nisaidieni kinywaji cha fasta cha kupunguza ulevi nimekunywa krest lakini wapi nataka niende home aisee
Nunua ndimu ikate na upake kwenye nyayo za mkuu fastaaa.... Trusted and tested 100% worked...
 
Kunywa red bull
SmartSelect_20210322-002103_Chrome.jpg
 
Ongeza pombe ingine,One for the road.
Ikiisha unaongeza tena au umeishiwa mkwanja boss?
 
We wakumwagia ndoo za maji Kama kumi hivi halafu unaachwa mbona channel itashika tu! Au wakutishie wanataka kukula utumbo mkubwa..🤣🤣
 
Back
Top Bottom