Wakuu nimemkumbuka Papii Kocha

Wakuu heshima kwenu.
Aisee nilikua nasikiliza wimbo wa Papii kocha Salima..nimemkumbuka sana yule bwana..ningekua karibu ningeenda kumtembelea gerezani..dah maisha haya.
Sawa. Nenda ukonga utamkuta
 
Daaaaahhhhhh! Mtoa post umenitoa machoz na kunikumbusha mbali kidogo.Nakumbuka fiesta ya mwaka jana 2016 Christian Bella ( King of melodies) alipopanda kwenye stage aliimba kidogo wimbo wa Papii Kocha (FANTA),hyo ngoma ni tamu sana ikipigwa live...,kumpoteza Papii Kocha au Nguza Viking ni pengo kubwa sana kwa sanaa ya Bongo
 
We acha ndugu yangu..nimekumbuka Sana jamaa..sema Niko mbali na DSM ningekua karibu ningeenda kumtembelea ukonga.
 
Hao paedophiles hawafai hata kukumbukwa acha wakae mbali na jamii.
 
Hao paedophiles hawafai hata kukumbukwa acha wakae mbali na jamii.
sexually interested in children. Nani anafahamu ukweli wa hii case pengine kweli ni paedophile au vagina. Maana unapokuwa na ugomvi na mtu kama unamambo unayafanya kwa siri, hutumia kama sababu ya kukuangamiza
 
Wabongo tunapenda kuamini theories na kuukataa ukweli. Ushahidi makamani mara tatu, jamaa wameonekana ni Pedos, sasa unataka tuamini story za vijiweni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…