Kwani we Mcongoman? Kuna Watanzania wenzako kibao kina Jack Cliff, Joseph Kaniki nk nk wamefungwa nje ya Nchi umechukua japo dkk 1 kuwaombea mema Mkuu? tuwe wazalendo, acheni wacongo wawaze juu ya ujinga wa ndugu zao. Au ulikua mteja wa wadau hao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya watu wanaoniumiza roho kila nikikuta ngoma yao YouTube ni hawa binadamu.Wakuu heshima kwenu.
Aisee nilikua nasikiliza wimbo wa Papii kocha Salima..nimemkumbuka sana yule bwana..ningekua karibu ningeenda kumtembelea gerezani..dah maisha haya.
....Mkuu zote taste zinafanana?Mimi nimemkumbuka tu yule aliyewaweka ndani kwa ajili ya ' Mbunye ' moja wakati ' Mimbunye ' kibao imejazana ' Kimboka ' Buguruni.
ya SALIMAWakuu fanyeni kufunguka ni mbunye ya nani imewaletea matatizo hawa ndugu zetu.
Hatimaye wamerudiDaaaaahhhhhh! Mtoa post umenitoa machoz na kunikumbusha mbali kidogo.Nakumbuka fiesta ya mwaka jana 2016 Christian Bella ( King of melodies) alipopanda kwenye stage aliimba kidogo wimbo wa Papii Kocha (FANTA),hyo ngoma ni tamu sana ikipigwa live...,kumpoteza Papii Kocha au Nguza Viking ni pengo kubwa sana kwa sanaa ya Bongo
Aaahhhh weka evidence hapaya SALIMA
Unajisikiaje kusikia wametoka wako huruAcha walalie virago maisha yao yote, we kaa na Mungu wako tu.
Unajisikiaje kusikia wametoka wako huru
Kajifunze kwanza hicho kingereza ili usije kuandika lugha iliyokakamaa ila haikusaidii lolote kumwombea mtu baya limfikeI don't give a fook. I've been working since in the morning, so my weekend starts now. I'm about to open the fridge and watch a football match.
Kajifunze kwanza hicho kingereza ili usije kuandika lugha iliyokakamaa ila haikusaidii lolote kumwombea mtu baya limfike
Lugha ya kila siku wapi hata neno fool huwezi andika mkuuMkuu hapa nilipo hiyo lugha ndio maisha ya kila siku. We endelea na fiesta tu achana na mimi.
Lugha ya kila siku wapi hata neno fool huwezi andika mkuu
May be uko sahihi ila wote tunapita hii dunia ile chuki na kauli zile siyo mujarabu kakaNimesema, I don't give a fook.