Wakuu nimemkumbuka Papii Kocha

Wakuu nimemkumbuka Papii Kocha

Kwani we Mcongoman? Kuna Watanzania wenzako kibao kina Jack Cliff, Joseph Kaniki nk nk wamefungwa nje ya Nchi umechukua japo dkk 1 kuwaombea mema Mkuu? tuwe wazalendo, acheni wacongo wawaze juu ya ujinga wa ndugu zao. Au ulikua mteja wa wadau hao?
 
Wakuu heshima kwenu.
Aisee nilikua nasikiliza wimbo wa Papii kocha Salima..nimemkumbuka sana yule bwana..ningekua karibu ningeenda kumtembelea gerezani..dah maisha haya.
Kati ya watu wanaoniumiza roho kila nikikuta ngoma yao YouTube ni hawa binadamu.
 
Kati ya watu wanaoniumiza roho kila nikikuta ngoma yao YouTube ni hawa binadamu.

Mkuu we acha tu,yaani ukifikiria sana unabaki na maswali lukuki..lakini ndio hivyo hatuta kuanao uraiani maisha yao yote..
 
Daaaaahhhhhh! Mtoa post umenitoa machoz na kunikumbusha mbali kidogo.Nakumbuka fiesta ya mwaka jana 2016 Christian Bella ( King of melodies) alipopanda kwenye stage aliimba kidogo wimbo wa Papii Kocha (FANTA),hyo ngoma ni tamu sana ikipigwa live...,kumpoteza Papii Kocha au Nguza Viking ni pengo kubwa sana kwa sanaa ya Bongo
Hatimaye wamerudi
 
Lowassa; Nitamtoa Babuseya Gerezani Endapo Nitashinda Uraisi.

ccm; Haiwezekani Acha Kudanganya Umma. 2015

JPM; Nimewasamehe Papi Kocha na Babu Seya.

ccm; Magufuli Oyeeeee. (2017)
 
Unajisikiaje kusikia wametoka wako huru

I don't give a fook. I've been working since in the morning, so my weekend starts now. I'm about to open the fridge and watch a football match.
 
I don't give a fook. I've been working since in the morning, so my weekend starts now. I'm about to open the fridge and watch a football match.
Kajifunze kwanza hicho kingereza ili usije kuandika lugha iliyokakamaa ila haikusaidii lolote kumwombea mtu baya limfike
 
Kajifunze kwanza hicho kingereza ili usije kuandika lugha iliyokakamaa ila haikusaidii lolote kumwombea mtu baya limfike

Mkuu hapa nilipo hiyo lugha ndio maisha ya kila siku. We endelea na fiesta tu achana na mimi.
 
Jaman kila nikijaeibu kupakua hii nyimbo siipat hata you tube haipo tafadhar mwenye nayo naiomba
 
Back
Top Bottom