Wakuu nimeota nafanya mapenzi..

Wakuu nimeota nafanya mapenzi..

Pole sana Kwa hayo maswahibu

Kiashiria kimoja wapo kwamba Mtu amebarehe ilikuwa ni pamoja na ndoto nyevu kama hizo, mara nyingi ilikuwa inawakumba Vijana wa Rika la miaka 14-18 hapo.

Nakumbuka wakati wa barehe yangu nilikuwa naweza kuota nashirikiana na Mwanamke na kwenda hata safari mbili within ndoto moja.

Asubuhi nakuta Boksa imechafuka hasa 🙌

Ukishavuka umri wa barehe, na bado ukaendelea kuota unafanya ngono huwa inaashiria kwamba;

Unafikiria sana ngono, hivyo ukilala unajikuta unaota ndoto za kufanya ngono

Pili huwa ni ishara kwamba unatembelewa na Jini Mahaba, hivyo kujikuta unashiriki naye ngono.

Tatu, ni kiashiria kwetu Wazazi kwamba Kijana wetu umekuwa, hivyo tukulazimishe Uoe, hata kama utakuwa hauna kitu ndani

Bora tuuze mashamba yetu pamoja na Viwanja ili Kijana wetu uweze Kuoa, vinginevyo vipande vya Sabuni na mafuta yatakuwa yanaisha Kila Siku 😜
 
Mkuu mimi ni mtu mzima nishavuka hilo la barekhe ujue ..

Kama ni jini mahaba ni jinsi gani naweza kulitumia linipe pesa mkuu wangu maana daaah alikua ananipa vtu adimu
 
Back
Top Bottom