Wakuu nimeota nafanya mapenzi..

Wakuu nimeota nafanya mapenzi..

Mimi tangu wana wanisanue kua hayo huwaga ni majini, basi nikawa natamani yaje niyahondomole vilivyo, bahati mbaya hayajawahi kuja aisee.

Leo kula vizuri ulisubiri, likija unalichapa vilivyo kesho utakuta vibunda tu kitandani.
Manina leo nataka nipake mkongo kabisa. Maana hajanitoka kichwani alafu ni chocolate colour moja hv
 
Pole sana Kwa hayo maswahibu

Kiashiria kimoja wapo kwamba Mtu amebarehe ilikuwa ni pamoja na ndoto nyevu kama hizo, mara nyingi ilikuwa inawakumba Vijana wa Rika la miaka 14-18 hapo.

Nakumbuka wakati wa barehe yangu nilikuwa naweza kuota nashirikiana na Mwanamke na kwenda hata safari mbili within ndoto moja.

Asubuhi nakuta Boksa imechafuka hasa 🙌

Ukishavuka umri wa barehe, na bado ukaendelea kuota unafanya ngono huwa inaashiria kwamba;

Unafikiria sana ngono, hivyo ukilala unajikuta unaota ndoto za kufanya ngono

Pili huwa ni ishara kwamba unatembelewa na Jini Mahaba, hivyo kujikuta unashiriki naye ngono.

Tatu, ni kiashiria kwetu Wazazi kwamba Kijana wetu umekuwa, hivyo tukulazimishe Uoe, hata kama utakuwa hauna kitu ndani

Bora tuuze mashamba yetu pamoja na Viwanja ili Kijana wetu uweze Kuoa, vinginevyo vipande vya Sabuni na mafuta yatakuwa yanaisha Kila Siku 😜
Nne staying for too long without having sex. It happens sometimes kwangu due to that and sishangai
 
🤣🤣🤣🤣hujui vitu vizuri mkuu,

Utakuwa unawaza kuwekana sana mkuu, au una mda mrefu hujawekana.
Hata kama mkuu..
Ndoto ya jana ilikua very special yaani sijawahi ona mdada mkali vile mkuu assume ni sawa una kiu cha maji jangwani alafu gafla unakutana na maji bardi assume tuu..

Mkuu jana ilikua hatareee aiseee natamani leo ijirudie aiseee
 
Back
Top Bottom