Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Polepole sasa.Usifakamie.Nakunywa maji sand nikiwa natumia hayo mashisha mkuu wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polepole sasa.Usifakamie.Nakunywa maji sand nikiwa natumia hayo mashisha mkuu wangu
Sema mkuu ujue hii ndoto ina fanya nitafakari sna leoPolepole sasa.Usifakamie.
It's a revelation to the functionality of poor brain to you as a poor brain personWakuu nimeota nafanya mapenzi.
Na huyo mtu naefanya nae alipaka asali kwenye naniliu yake akawa analazimisha mimi et nilambe. Naniliu yake.
Wakuu hi inamaana gani. Alafu huyo demu alikua mkali sana aiseee.
Wakuu nafanya nn hi hali ijirudie tena.
Maana hata sikumfanya vzr
Mwenye simu hayupo.
Kuwa makini.Kuna mtu anataka kukuambukiza yutiai.Tunza sehemu yako ya siri.Sema mkuu ujue hii ndoto ina fanya nitafakari sna leo
Dah 😁😁😁🤣🤣🤣🤣Wakuu nimeota nafanya mapenzi.
Na huyo mtu naefanya nae alipaka asali kwenye naniliu yake akawa analazimisha mimi et nilambe. Naniliu yake.
Wakuu hi inamaana gani. Alafu huyo demu alikua mkali sana aiseee.
Wakuu nafanya nn hi hali ijirudie tena.
Maana hata sikumfanya vzr
Mwenye simu hayupo.
You i will give you bad language world be you calmIt's a revelation to the functionality of poor brain to you as a poor brain person
Mkuu hali ilikua tete chumbani kwangu jana ujue...Dah 😁😁😁🤣🤣🤣🤣
Kiingereza chenu nimekipenda sana.Mlichukulia kozi wapi mkuu?You i will give you bad language world be you calm
Muite sheikh mmoja akusomee Dua Ndoto ijirudie 🤣🤣Mkuu hali ilikua tete chumbani kwangu jana ujue...
Mambo yalikua mambo
😄😄😄😄😄😄😄😄😄 Alafu kumbe na wewe mnafiki sana..Kiingereza chenu nimekipenda sana.Mlichukulia kozi wapi mkuu?
Nisamehe mkuu.Nimeacha.😄😄😄😄😄😄😄😄😄 Alafu kumbe na wewe mnafiki sana..
Yaani una ninafikia hvo
Mkuu kuhusu ndoto kujirudia ni suala la mda tuu ngoja leo nijipange yaani nitawaza huu ujinga mpaka basiMuite sheikh mmoja akusomee Dua Ndoto ijirudie 🤣🤣
We jamaa ndo unatula pesa zetu huku kwa betting sio 😄😄😄😄😄Ni vyema ukamtumia mhamala kwa huyo uliomzagamua ndotoni! Tuma tu pesa na usimwambie chochote, hata akikuuliza endelea kupiga kimya tu mkuu.
Mjomba usiogope matumizi ndo kazi ya pesa hiyo, yaani sisi tuangaishane nao huku mitaa kupendezesha halafu kuna njemba moja inajilia kiulaini tu kwenye ndoto, kweli hii dunia haiko fair 😂We jamaa ndo unatula pesa zetu huku kwa betting sio 😄😄😄😄😄
Mkuuu hapa nawaza Leo anaweza kuja tena...Mjomba usiogope matumizi ndo kazi ya pesa hiyo, yaani sisi tuangaishane nao huku mitaa kupendezesha halafu kuna njemba moja inajilia kiulaini tu kwenye ndoto, kweli hii dunia haiko fair 😂
Kanjibai kule betpawa umeweka kitu gani mbona unatupiga vileMjomba usiogope matumizi ndo kazi ya pesa hiyo, yaani sisi tuangaishane nao huku mitaa kupendezesha halafu kuna njemba moja inajilia kiulaini tu kwenye ndoto, kweli hii dunia haiko fair 😂
Mabetting yote mjini ni yangu nimeweka vijana tu wanikusanyie na nawaganyaga kweli kweli 😂 😂😂😂, nikipita kwenye thread ya wazee wa kuweka mpunga kwa ajili ya kubashiri huwa nacheka kihindi kweli kweli 🤣🤣🤣🤣🤣Kanjibai kule betpawa umeweka kitu gani mbona unatupiga vile
True but think for how long mnafanya sex and the other time mnaishi pamoja like normal. Utajua sex is a very minor part of marriage unless mmoja is not satisfied and that's when it becomes a bigger issueHauwezi kutenganisha ndoa na sex japo sex unaweza itenganisha na ndoa 🤔
Acha tu sometimes unafeel kuwehuka na vigubu visivyo na sababu kumbe sababu ukame hahaaNi sahihi ulichosema, ila ukiwa hauna changamoto zozote za kiafya, lazima upate hiyo shida
Ndiyo maana wakati ule wa Shule, ili kupunguza mihemko ilikuwa wanatuwekea mafuta ya taa kwenye chakula.
Ndoa hai- guarantee mapenzi, lakini huwezi ukaa Mwezi mzima hujapewa tendo
Na Siku ukipewa lazima ukamie mechi ili hata kama utanyimwa Kwa wiki tatu ama Mwezi usipate shida ya kuhaingaika na Dada wa kazi ama kwenda kununua mizigo hapo River side 🤗