Wakuu nimepata zali na mtoto wa kituruki ameniachia noti mbili za kituruki Worth £5200

Wakuu nimepata zali na mtoto wa kituruki ameniachia noti mbili za kituruki Worth £5200

Niangalie nini mzee. Unaijua symbol ya Pound (£) na thamani ya pound unaijua.

Mimi nimemjibu kutokana na aliyoandika juu. Baada ya kuweka picha ndio nimemuambia hiyo ni ruble ya Urusi na kwa hizo ruble 5200 hata laki mbili ya kibongo hakunji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Out of nowhere umeachiwa 700,000 na waturuki, uligawa Nini mwenzetu? Hongera kwa kujituma!! Good hospitality pays eeeh!
Ukitoka kuchange usisahau kapicha ka mrejesho American Dream nipo hapa🤗
 
N
Ndio mkuu piga hesabu vzr mkuu uji pesa za ulaya inadhamani kubwa euro u 5000 Ina dhamani ya milion 14
Ni thamani sio dhamani nimekuwa nakufuatilia muda mrefu boss unaandika dhamani badala ya thamani nahisi utakuwa mtu wa Iringa tena mhehe😀😀
 
Двести рублей- two hundred rubles
Пять тысяч рублей- five thousand rubles

Pesa ya Russia hiyo mkuu.
Kam unazitaji nitafute nikupe unipe laki moja mm nikuachie hz pesa za putin
 
Out of nowhere umeachiwa 700,000 na waturuki, uligawa Nini mwenzetu? Hongera kwa kujituma!! Good hospitality pays eeeh!
Ukitoka kuchange usisahau kapicha ka mrejesho American Dream nipo hapa[emoji847]
Hkn mkuu nimepata kutoka na jins nilivyo faany Kaz za kiushauri consultant
 
N

Ni thamani sio dhamani nimekuwa nakufuatilia muda mrefu boss unaandika dhamani badala ya thamani nahisi utakuwa mtu wa Iringa tena mhehe[emoji3][emoji3]
Ahah hmn mkuu min Wala siyo myalukolo ingawa Ni rfk zangu San wale watu mm Ni Masai moja HV wa archuga
 
Ufanye kazi nmb ushindwe kujua hata namna ya kutambua fedha za kigeni? Naungana na wanaoomba vitafunwa
Kweli mkuu mm nimefanya Kaz nnmb kanda magharibi ila mm nilikuwa compliance officer na Niko ktk idara ya risk management so sikuwa na deal San na bulk cash mkuu
 
Note tofauti na Dollar kwa hii Nchi ni kipengele sana sana.

Majuzi kati hapa nililipwa burungutu za note za kenya Tu hapo ila kuzi convert ilikua n kuacha kazi ufanye kazi.

Ukienda bank hii wanakwambia tunapokea hizi tu hizo zingine hatupokei,ukienda bank zngine wanakwambia mara note imechakaa wakat note n mpya kbsa kama hyo hapo juu.

Haya basi KCB kwenye bank lao ndio kbsa wanachambua hela zakuchukua zingine hawachukui,hadi unajiuliza hizi hela si za nchi yenu mbona mnachagua za kuchukua?!

Ki ufupi Malipo tofauti na Dollar hapa TZ usipokeee,hela inaweza kuwa na thaman inafaa haina tatzo ila mpk ubadilishiwe labda uende nchi ya hiyo note.

Dollar tu ndio noti ya kuwa nayo kwenye wallet,hizi nyingine kuchoshana tu.
 
Mkuu controla ulikuwa wapi umepotea Sana
 
Ahah hmn mkuu min Wala siyo myalukolo ingawa Ni rfk zangu San wale watu mm Ni Masai moja HV wa archuga
Ok bro nimekumbuka na wamasai wanasemaga dhamani😀😀maana mi pia Arusha is my second home, nimeishi sana Njiro
 
Back
Top Bottom