Ni kam umepigwa hiyo siyo euro kwasababu lugha iliyotumika kwenye hizo noti ni kama Kiukrain na Kirus,possibly ni ruble hiyo mkuu.Siyo za kituruki hzo pesa mkuu au nimepigwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niangalie nini mzee. Unaijua symbol ya Pound (£) na thamani ya pound unaijua.
Mimi nimemjibu kutokana na aliyoandika juu. Baada ya kuweka picha ndio nimemuambia hiyo ni ruble ya Urusi na kwa hizo ruble 5200 hata laki mbili ya kibongo hakunji.
Двести рублей- two hundred rubles
Hizo fedha ni Ruble za mrusi wewe jamaa acha kukaza kichwaNi sahih kbsa mkuu sas watu wanbisha kuwa Ni za mrusi
£ haijawahi kupwaya kama Kimombo tu!Hivi wewe unaijua thamani ya Pound Sterling au unatania?
£5200 ni sawa na M15+ Tshs.
Ni thamani sio dhamani nimekuwa nakufuatilia muda mrefu boss unaandika dhamani badala ya thamani nahisi utakuwa mtu wa Iringa tena mhehe😀😀Ndio mkuu piga hesabu vzr mkuu uji pesa za ulaya inadhamani kubwa euro u 5000 Ina dhamani ya milion 14
Unauliza swali ukijibiwa unamwambia aliyekujibu atazame vzr. Kama una majibu unayotaka upewe, sema na sio kuhangaisha watuTazama vzr
Ufanye kazi nmb ushindwe kujua hata namna ya kutambua fedha za kigeni? Naungana na wanaoomba vitafunwaHpna siwez fika uko kwanza kitambo San wakt nafamya kazi nmb Kanda ya magaharibi nilipita pale kutokea tabora na nguruka
Hkn mkuu nimepata kutoka na jins nilivyo faany Kaz za kiushauri consultantOut of nowhere umeachiwa 700,000 na waturuki, uligawa Nini mwenzetu? Hongera kwa kujituma!! Good hospitality pays eeeh!
Ukitoka kuchange usisahau kapicha ka mrejesho American Dream nipo hapa[emoji847]
Ahah hmn mkuu min Wala siyo myalukolo ingawa Ni rfk zangu San wale watu mm Ni Masai moja HV wa archugaN
Ni thamani sio dhamani nimekuwa nakufuatilia muda mrefu boss unaandika dhamani badala ya thamani nahisi utakuwa mtu wa Iringa tena mhehe[emoji3][emoji3]
Kweli mkuu mm nimefanya Kaz nnmb kanda magharibi ila mm nilikuwa compliance officer na Niko ktk idara ya risk management so sikuwa na deal San na bulk cash mkuuUfanye kazi nmb ushindwe kujua hata namna ya kutambua fedha za kigeni? Naungana na wanaoomba vitafunwa
Mimi nipo hapa bima niambie hilo chimbo mkuuKachenji hela njoo Tabata nikupelke chimbo la mademu wazuri..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na ukimwi juu
Mkuu controla ulikuwa wapi umepotea SanaNote tofauti na Dollar kwa hii Nchi ni kipengele sana sana.
Majuzi kati hapa nililipwa burungutu za note za kenya Tu hapo ila kuzi convert ilikua n kuacha kazi ufanye kazi.
Ukienda bank hii wanakwambia tunapokea hizi tu hizo zingine hatupokei,ukienda bank zngine wanakwambia mara note imechakaa wakat note n mpya kbsa kama hyo hapo juu.
Haya basi KCB kwenye bank lao ndio kbsa wanachambua hela zakuchukua zingine hawachukui,hadi unajiuliza hizi hela si za nchi yenu mbona mnachagua za kuchukua?!
Ki ufupi Malipo tofauti na Dollar hapa TZ usipokeee,hela inaweza kuwa na thaman inafaa haina tatzo ila mpk ubadilishiwe labda uende nchi ya hiyo note.
Dollar tu ndio noti ya kuwa nayo kwenye wallet,hizi nyingine kuchoshana tu.
Ok bro nimekumbuka na wamasai wanasemaga dhamani😀😀maana mi pia Arusha is my second home, nimeishi sana NjiroAhah hmn mkuu min Wala siyo myalukolo ingawa Ni rfk zangu San wale watu mm Ni Masai moja HV wa archuga