This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Sasa umekuja kutangaza ujinga wako humu.Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma mzigo, nikamtumia hela na mzigo haujafika na wala hapokei tena simu wala kujibu sms.. kumbe alinitumia documents ambazo ni feki.. pls naombeni msaada wenu wana jf!
Unamtumiaje hela mtu humjui Wala hujui utampata wapi.
Nafikiri Sasa Akili zimekukaa saws baada ya kupigwa.
Umeandika ushamba.