Wakuu nimetapeliwa na mtu wa Thailand

Sasa umekuja kutangaza ujinga wako humu.

Unamtumiaje hela mtu humjui Wala hujui utampata wapi.

Nafikiri Sasa Akili zimekukaa saws baada ya kupigwa.

Umeandika ushamba.
 
Kwa hiyo ukatuma hela he he heeeee hii nchi ina raha zake.
 
Hongera, umepata degree ya kutokukurupuka na kutohemuka with tamaa ingawa umelipa ada kubwa sana.

NB: Kutapeliwa kokote hufanikiwa baada ya tamaa. Hapo uliona bei ni chini sana ukaongozwa na tamaa.
 
Huu ni uongo, bill of lading hakuiona?
 
Kupitia huu uzi nimeelewa WaTanzania wengi wana misongo ya mawazo [emoji119]
Tena wanafurahia sana matatizo ya watu. It's very sad though badala ya kumpa majibu ya hovyo ni bora kukaa kimya maana huwezi jua yupo na maumivu kiasi gani. Hili taifa limekuwa na watu waajabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…