Wakuu nina wazo

Kwani mwanzo alikuwa analipiwa na nani wakati ana ajira, wanawake mnafeli sana yani mkipata mwanaume bac ndio unambebesha mizigo yote
Sasa kipimo Cha mwanaume ni kudeal na majukumu,Sasa kama Kodi inakushinda hapo we uage mashindano tu sio ligi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…