maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Umepima HIV? Maana jana ilikuwa ni siju ya ukimwi duniani....Habarini wakuu, nafahamu ya kua wajuzi wa masuala ya afya mko hapa, bila kupoteza mda niende moja Kwa moja kwene mada
Wakuu ninasumbuliwa na tumbo adi nahisi kutoweka duniani siku si nyingi yaani tumbo linajaa gesi halafu naarisha sana hii hali ina wiki sasa na sijapata dawa yeyote adi sasa.
Mimi ni muumini wa dawa za kienyeji sana lakini kama kuna anafahamu dawa zaidi naombeni anijuze kwa kubanwa huku ata za kisasa nitatumia.
Naombeni msaada wakuu nahisi jf ndo itakua mwisho wa matatizo yangu baada ya kuhangaika sana.
Chemsha tangawizi unywe, kama kuna minyoo au uchafu ulioingia pamoja na chakula utautoa wote.Habarini wakuu, nafahamu ya kua wajuzi wa masuala ya afya mko hapa, bila kupoteza mda niende moja Kwa moja kwene mada