Wakuu ninasumbuliwa na tumbo adi nahisi kutoweka duniani

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Habarini wakuu, nafahamu ya kua wajuzi wa masuala ya afya mko hapa, bila kupoteza mda niende moja Kwa moja kwene mada

Wakuu ninasumbuliwa na tumbo adi nahisi kutoweka duniani siku si nyingi yaani tumbo linajaa gesi halafu naarisha sana hii hali ina wiki sasa na sijapata dawa yeyote adi sasa.

Mimi ni muumini wa dawa za kienyeji sana lakini kama kuna anafahamu dawa zaidi naombeni anijuze kwa kubanwa huku ata za kisasa nitatumia.

Naombeni msaada wakuu nahisi jf ndo itakua mwisho wa matatizo yangu baada ya kuhangaika sana.
 
Mkuu nenda hospitali kapate kipimo YAWEZA kuwa Ni vidonda vya tumbo.typhoid,Malaria au hata mchafuko wa tumbo tu.LA MSINGI NI KWENDA HOSOITALI MKUU
 
Habarini wakuu, nafahamu ya kua wajuzi wa masuala ya afya mko hapa, bila kupoteza mda niende moja Kwa moja kwene mada

Wakuu ninasumbuliwa na tumbo adi nahisi kutoweka duniani siku si nyingi yaani tumbo linajaa gesi halafu naarisha sana hii hali ina wiki sasa na sijapata dawa yeyote adi sasa.

Mimi ni muumini wa dawa za kienyeji sana lakini kama kuna anafahamu dawa zaidi naombeni anijuze kwa kubanwa huku ata za kisasa nitatumia.

Naombeni msaada wakuu nahisi jf ndo itakua mwisho wa matatizo yangu baada ya kuhangaika sana.
Umepima HIV? Maana jana ilikuwa ni siju ya ukimwi duniani....
 
Tunakushauri ukapime.

Lakini kwa hapa nikuulize yafuatayo!

Vipi hali yako inaambatana na dalili ipi nyingine! Unahisi maumivu ya tumbo? Unatapika/kichefuchefu? na vp kuhusu hamu yako ya kula?

Je hali yako hii inaambatana na mwili kuchemka/homa?

Asante na Karibu.
 
Habarini wakuu, nafahamu ya kua wajuzi wa masuala ya afya mko hapa, bila kupoteza mda niende moja Kwa moja kwene mada

Wakuu ninasumbuliwa na tumbo adi nahisi kutoweka duniani siku si nyingi yaani tumbo linajaa gesi halafu naarisha sana hii hali ina wiki sasa na sijapata dawa yeyote adi sasa.

Mimi ni muumini wa dawa za kienyeji sana lakini kama kuna anafahamu dawa zaidi naombeni anijuze kwa kubanwa huku ata za kisasa nitatumia.

Naombeni msaada wakuu nahisi jf ndo itakua mwisho wa matatizo yangu baada ya kuhangaika sana.
Chemsha tangawizi unywe, kama kuna minyoo au uchafu ulioingia pamoja na chakula utautoa wote.
 
Back
Top Bottom