Wakuu niongeze nini hapa? Nasoma comment zenu.... PANAITWA #LUGANOKIDSSHOP NAUZA nguo za watoto .. Naomba maoni yako moja tu. Na ushauri kidogo.

kwakua ni duka la nguo za watoto weka kabati la aluminium ndan weka poder mafuta yote ya watoto kwanzia new born mpaka miaka 5 weka pempazi wipes sabun za aina zote na zile za maji za kutoa harufu kwenye nguo za watoto weka celelack na vtu vya lishe vilivyo pakage kama boga lishe unga wa lishe nk UJAPIGA HELA APO?
 
Mkuu asante nitatendea kazi ushauriii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…