Wakuu niongeze nini hapa? Nasoma comment zenu.... PANAITWA #LUGANOKIDSSHOP NAUZA nguo za watoto .. Naomba maoni yako moja tu. Na ushauri kidogo.

Weka CCTV
Weusi hawakawii kukufilisi tena kama unapata faida nzuri weka kijana wa ku monitor camera mda wote huku na wewe ukimchunguza
Biashara tatizo wizi
Ila pambana
 
Back
Top Bottom