Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi

Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu ya kupunguza wivu nilionao maana nahisi unaweza kuja kuniangamiza wakuu.

Ni mpenzi wangu, nipo nae mwaka wa 4 sasa.

Nipo chini ya miguu yenu naombeni ushauri wa haraka sana.
 
Kila siku asubuhi unapoamka jitahidi unywe maji lita moja yenye chumvi kwa mbalii
 
Mbona kuna mengi ya kufanya asubuhi hii..
 
Unafikiria ujinga pengine ww mwenyewe unafanya ndio maana unamfikiria mwenzako hivyo ,kama weye unataka kufanya jambo lako lolote ikiwa zuri au baya na hawezi kukuzuiya basi na yy vile vile huwezi kumzuiya kama kakusudia kukuchit atakuchiti tu usujione una right ya kumchiti yy hana kwanza stop weye .Wanawake ni kama bahari huwezi kuilinda.
 
Back
Top Bottom