Male
28
Ndio umri wake huo,utaponywa na muda.mkuu nataka niondoe wivu mkuu, nahisi kabisa inanipa shida
Hili tatizo sio umri wala jinsia, wala mtu asiseme tafuta pesa kama tulivyozoea humu. Wanaotumia magunia ya mkaa walianza hivihivi pamoja na umri wao mkomavu na fedha walizonazo.umri wako na jinsia tafadhali