Wakuu nipeni mbinu kupunguza wivu wa mapenzi

shukrani mnoo kaka, nimepata kitu kizuri
 
ushauri wa mbolea huu
 
Kati ya watu ninao waonea huruma ni wale wenye wapenzi au wachumba ila hawana access na matumizi ya simu zao.

Yaan kuna ulazima mwingi tuu wa kuchunguza mawasiliano ya mwenzi wako angalau kwa kipindi fulani ili kujua tabia yake kiundani zaidi.

Zamani enzi za mababu zetu kulikuwa na utaratibu wa kufuata kabla ya kuoa. Wazee walikuwa wanachunguza ukoo, familia na binti mwenyewe ili kujiridhisha na mambo mengi. Kama wakikuta dosari sehemu yoyote either kwenye ukoo, familia na binti basi ndoa ilikuwa haifungwi.

Je katika kipindi hiki ambacho tunakutana kimjini mjini, binti mwenyewe ilimkuta hana bikra utawezaje kumjua tabia zake?

Hata mimi nilikuwa kama wewe, yaani nilikuwa na wivu sana na nashindwa kumsoma mchumba wangu. Muda mwingi namuwazia mabaya yaani inshort nilikuwa simuamini. Na pengine insecurities zangu zilikuwa zinamboa na kumfanya awe na tabia zingine za ajabu sana.

Dawa niliyoifanya ni ku hack simu yake, yaan nina zaidi ya miaka 2 nachunguza mawasiliano yake yaan nasoma text zake zote(normal texts, whatsup texts, all social media texts) na nasikiliza simu zake zote anazopiga na kupigiwa, maweza tumia kamera yake ya mbele au ya nyuma kupiga picha nijiridhishe na mazingira aliyopo, naweza kurecord video yenye sauti ya sehemu alipo na naweza record sauti pia, naweza kuona picha zote anazopiga na kutumiwa. Yaan in short simu yake naweza ifanyia chochote nitakacho.

Kufanya hivyo vyote kumesaidia sana mahusiano yetu kuwa bomba sana maana namuamini kwa 100% maana hawezi nidanganya kwa chochote na nikibaini kama kuna jambo ovu anataka kufanya, indirect mimi namsaidia asiweze kulifanya ili kuharibu mahusiano yetu. Kwa mfano kama kuna jamaa anamtongoza, najifanya kupiga ambushi simu yake na kumpa mkwara heavy na akakiri na kujirudi. Ila kuna moves zingine naziacha ili niweze kuona anareact vp kwa hizo situations ambazo pia na mimi zinanifunza kujua msimamo wake uko vip kwangu.

Kuwa na access ya privacy za mchumba wako inaitaji moyo na uwe na extra mind ili asigundue kama unamfanyia huo mchezo mchafu.

Faida yake nyingine ukiwa na access ya privacy Ni amani ya Moyo pia kuwa na uhakika wa mahusiano yenu kama yapo serious au Mnatumiana. Pia unajiepusha na magonjwa kama ukigundua anakucheat unamtema fasta. All in all inasaidia kujua strength na weakness za mwenza wako kabla hujacomit.

Aksante
 
Ukishafikisha 35 wivu wote utaisha,vumilia tu mkuu.
sio kweli. wivu ni ulemavu kama kibiongo. niko zaid ya 40 yrs lakin hata nikiota mpenz wangu anamkubali mtu naamka tumeachana! mtaalam wangu alinishaur nisioe kutokana na huu ugonjwa.
 
Tulia dawa ikuingie..anaongea na mzazi wake
 
Huyo mpenzi wako ulimkuta bikra ?
 
Ole wako na kishajua una mpenda kupindukia UMEKWISHA KAKA Jaribu kuwa baharia ,potezea kabisaa as longer unapomuhitajia unampata hiyo ni tosha kabisa suala la kumfatilia litakuumiza sana kama uko serous mwaka wa 4 una subiri nini tena si umuoe mambo yaishe nikwambie siri huko peke yako na special kama demu wako ni mzuri ,yeye ana miaka mingapi any way msikilize LAVA LAVA Wimbo ni WALE WALE utapata Ujumbe tosha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…