Wakuu nipeni michongo ya pesa ndefu

Wakuu nipeni michongo ya pesa ndefu

Tafuta shamba huko ndani ndani kalime bangi utatoboa maana hata hazihtaji dawa za wadudu, maana kila mchongo wa pesa ndefu watu washaushika na wanapeana conection kwa kujuana na kuaminiana c kujuana mtandaon
Asante kwa mawazo mkuu nitajaribu hili
 
Wakuu poleni na majukumu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums, kama mnavyojua now baadhi ya vijana kama mimi ndio tumemaliza chuo tumerudi mtaani japo harakati huku mtaani hazisomeki.

Bila kupoteza muda wakuu nisaidieni kuniunganisha na michongo yoyote ile ilimradi iwe ya pesa ndefu kama ni ajira wakuu nitashukuru sana maana nina diploma ya Accounting and finance na bado nasubiria cheti changu cha degree mwezi wa 12 mwaka huu

Pia kama kuna biashara za pesa ndefu wakuu mnaweza kuniajiri kama Accountant officer pia ninao uzoefu wa marketing and sales kikubwa biashara iwe na mauzo atleast 100m per a day

#Natanguliza_shukran_wakuu
Achana na Mambo ya Vyeti? Una Chura?
 
Jitahidi ujue unakosea wapi ili biashara yako isije kufa, kujiajili ndo kila kitu lakini ukitaka kuajiriwa utachelewa mkuu ..
Siku hizi biashara zina competition sana unakuta sehemu mmoja biashara zipo kama sita zinafanana mauzo yanakuwa chini wateja wachache unakuta siku nzima umeingiza buku 5 mpaka 7 sasa hapo kuna faida kweli na bado hujatoa gharama na matumizi binafsi. Biashara inachangamoto nyingi sana
 
Mshahara ni makubaliano mkuu kuhusu huo 100m hiyo ni mauzo ya kwenye biashara ya tajiri anayetaka kuniajiri maana ninao ujuzi ya kumanage business
Unao ujuzi wakati huo umesema biashara yako inakaribia kufa...🙌😂😂😂
 
Mshahara ni makubaliano mkuu kuhusu huo 100m hiyo ni mauzo ya kwenye biashara ya tajiri anayetaka kuniajiri maana ninao ujuzi ya kumanage business
Halafu biashara yako inakufa!" Nina ujuzi wa kumanage business.
 
Siku hizi biashara zina competition sana unakuta sehemu mmoja biashara zipo kama sita zinafanana mauzo yanakuwa chini wateja wachache unakuta siku nzima umeingiza buku 5 mpaka 7 sasa hapo kuna faida kweli na bado hujatoa gharama na matumizi binafsi. Biashara inachangamoto nyingi sana
Biashara zinazofanana zikiwa sehemu moja sio sababu ya kufanya mauzo yawe chini, mbona kkoo maduka ya nguo yamefatana na watu wanauza kama kawaida . Kikubwa kujali wateja, uwaminifu na kuwasiliana vizuri na wateja. ukifanya ivo kesho lazima mteja aludi kwako na wataambizana kwa hudumu nzuri unazowapa, ila simaanishi kuwa wewe huwajali wateja wako hapana ni ushauri tu na kutafuta mbinu mbadala yakukuza biashara yako mana hutokuja kuajiriwa milele muhimu kuwa na biashara yako
 
Umewai kucheza Zeppelin au Aviator?? Kama haujawai basi mchongo hupo uku
 
Back
Top Bottom