Wakuu! Nipeni report kipi kimejiri Tanganyika kwenye siku yake ya uhuru, ndio naamka saizi

Wakuu! Nipeni report kipi kimejiri Tanganyika kwenye siku yake ya uhuru, ndio naamka saizi

Bawabu wa pili

Senior Member
Joined
Nov 14, 2025
Posts
147
Reaction score
433
Vipi sherehe za uhuru wa tanganyika zimefanyika ipasavyo na watu kweli wamekumbuka mashujaa waliopigania hili Taifa hadi kuwa huru?

Na kama hazijafanyika, vipi mmepewa maelekezo ya kutosha bajeti iliyotengwa kwa ajili ya hii sherehe ilikuwa kiasi gani na imeenda kufanyia nini na huku ilikopelekwa utekelezaji ukoje?

Vipi wanaharakati wetu akina Mange Kimambi wapo wa hali gani? usalama wao umezingatiwa?

Nipeni report ndugu zangu, kipi kimeendelea siku ya leo?
 
Back
Top Bottom