Azimio la kazi
Senior Member
- Jun 7, 2023
- 138
- 452
Habari Wana Jf natumai wote ni wazima wa afya.
Wakuu siku ya jumatatu nilikwenda moja ya hospital apa mkoani ni ya binafsi (watu wengi wanaisifu), nilikuwa namumivu chini ya mbavu, baada ya kufanya Ultrasound majibu yakasema na nephritis yaani Figo ya kulia imevimba pamoja Nikakutwa sepsis , daktari akanipatia dawa Flucamox na Metamefac acid
Lakini kitu Cha ajabu siku ya Jana, ni kaenda hospital ya rufaa ya mkoa ku japo maumivu yalikuwa yamepunguwa daktari akashauri nifanye ultrasound Lakini kitu Cha ajabu hadi sasa nashidwa elewa majibu yametoka yanaonesha kuwa Sina Shida yoyote
Figo, appendix na upande wote wa kulia upo sawa Kabisa
Daktari akasema may be inaweza Kuwa na ulcers, Lakn utrasound ipo vizur kabisa.
Wakuu Yani sielewi kabisa, nawaza je hospital ya kwanza ya Private walifanya ujanja au hospital ya serikali ya mkoa walikosea kupima . Kwa kweli utofauti wa vipimo huu una nishangaza Sana.