Uwezekano wa kuhama upo ili mradi tu uwe na vigezo vinavyohitajika. Ndani ya wizara kuna mpango umerudishwa (re-categorization). Nakushangaa sana unaposema kuna degree ambayo haina education ndani yake, umeisomaje? Mwallimu aliyekufundisha kafundishwa na nani? Think Big "fella". Kuwa msomi ni pamoja na kupambana na challenges kama hizo. Ndani ya wizara kuna vitengo ama kitengo kinachoendana na profession yako tatizo ni kuwa viko occupied, so look into other industries na si lazima upate government coz kuna private sector zinakuhitaji ila hujui tu.